Read the latest episodes here!
Share Afya animations to
friends and family.
-
307 views
-
episodes
1 episodes
UPSHUJAA WA SIKOSELI
Nakala hii inasimulia hadithi ya farida, mgonjwa wa siko seli ambaye ameishi dhidi ya changamoto, akibeba ushuhuda kwamba: inawezekana kuishi na siko seli na kuwa na uwezo wa kutekeleza shughuli zingine zote kama mwanadamu wa kawaida.