A twisting tale of a confident, risk-taking but loving girl stepping up to raise the bar against Female Genital Mutilation while fighting her own battles with her family. Hadithi ya

kusisimua kuhusu msichana mwenye kujiamini, mwenye uthubutu na mpenda watu, anayejitokeza kuinua viwango dhidi ya Ukeketaji wa Wanawake huku akipambana na changamoto zake za kifamilia.

Share