AFYA YA UZAZI

Ugonjwa wa Kisonono unakuwa na dalili mbalimbali. Matibabu yapo na njia nzuri ni kumshirikisha mwenza wako pale uonapo dalili na kwenda kufanyiwa uchunguzi kwa pamoja.

Afyatoon